Isaiah 1:3

3 aNgʼombe anamjua bwana wake,
naye punda anajua hori la mmiliki wake,
lakini Israeli hajui,
watu wangu hawaelewi.”
Copyright information for SwhNEN